Share

Ruzibuka anavyosaidia wanawake kupata riziki kupitia mavazi Rwanda

Share This:

Priscilla Ruzibuka ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ambaye ameanzisha karakana ya kushona nguo za watoto na kusaidia akina mama wengine kujikimu kimaisha.

Leave a Comment