Share

Rwanda imeanza kufundisha mada kuhusu mauaji ya kimbari

Share This:

Rwanda imeanza kufundisha mada kuhusu mauaji ya kimbari katika somo la Historia. Wanafunzi wanafundishwa jinsi mgawanyiko wa kikabila ulivyochangia nchi hiyo kukumbwa na mauaji ya 1994 na namna ya kusahau mauaji hayo.

Leave a Comment