Share

Rwanda: Juhudi za kuwanusuru masokwe kutoangamia

Share This:

Masokwe wa milimani wako katika hatari ya kuangamia. nchini Rwanda kampeni ya kuwaokoa wanyama hao imeshaanza kuzaa matunda kwani katika miaka ya hivi karibuni idadi yao imeongezeka na kupita 1,000.

Leave a Comment