Share

Rwanda: Serikali Paul Kagame yawapa makao maelfu ya wenyeji wa maeneo ya milimani

Share This:

Rwanda imekuwa ikijenga makazi mapya kwa ajili ya wananchi waliokuwa wanaishi katika maeneo ya milima na miinuko ambayo ni hatari kwa maisha ya binadamu.
Nyumba za kisasa zenye mahitaji muhimu zinajengwa katika maeneo tofauti ya vijijini.Hata hivyo wanavijiji waliohamishwa katika makazi hayo wameiambia BBC kuwa wanaishi pazuri lakini bila chakula.
Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ametembelea baadhi yao eneo la kusini magharibi mwa Rwanda…

Leave a Comment