Share

Sababu za Hospitali ya Sekou Toure kukusanya MILIONI 200 kwa mwezi

Share This:

Leo May 17, 2018 Kuna hii ya kuifahamu kutoka katika Hospital ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure kwa sasa inakusanya Milioni 200, kwa mwezi ukilinganisha na kipindi cha nyuma walikuwa wanakusanya Milioni 40 tu.

Akizungumza na AyoTV na millardayo.com imezungumza Dr. Rutachunzibwa Thoma ni Mganga Mkuu wa Mkoa Mwanza.

Leave a Comment