Share

Sababu za Waziri Mpina kumtumbua Meneja wa kitengo cha bahari

Share This:

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amemsimamisha kazi Meneja wa kitengo cha bahari na maeneo tengefu (MPRU) Dr Milali Machumu kwa kushindwa kusimamia ipasavyo kitengo hicho. Pamoja na kusimamishwa Mpina ameagiza achunguzwe.

Maamuzi hayo yamekuja kufuatia taarifa ya ukaguzi wa ufanisi katika usimamizi wa hifadhi za bahari na maeneo tengefu kubainisha madhaifu

Leave a Comment