Share

SADC kuhakikisha ajira kwa vijana kwa nchi wanachama

Share This:

Mwenyekiti mpya wa baraza la mawaziri wanaowakilisha nchi 16 za jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika(SADC), Profesa Palamagamba Kabudi amesema moja ya mambo baraza lake litasimamia ni pamoja na kuhakisha ajira kwa vijana zinapatikana sambamba na kusimamia utekelezaji wa itifaki ya biashara na soko huru la SADC.

Leave a Comment