Share

Saed Kubenea amkingia kifua Mange “nitaandamana na mimi’

Share This:

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea amefunguka kwa kusema kwamba haoni sababu ya kuwazuia watanzania kama wameamua kuandamana wenyewe kwaajili ya kuadi haki zao. Kubenea amedai kuandamana ni haki ya kikatiba ya mtanzania hivyo haioni sababu ya watu kukatwazwa kuandamana huku akidai na yeye ataandamana kama maandamano hayo yatakuwepo.

Leave a Comment