Share

Said Ndemla atua Sweden

Share This:

Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kuwa kiungo wake, Said Hamisi Juma Ndemla amewasili salama Sweden tayari kuanza kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini humo.

Leave a Comment