Share

Salim Kikeke akumbuka alivyoanza safari Dira ya Dunia TV

Share This:

Katika maadhimisho ya miaka mitano tangu Dira TV kuzinduliwa, Mariam Omar alizungumza na mtangazaji wetu kinara Salim Kikeke ambaye anatueleza safari yake katika Dira TV.

Leave a Comment