Share

Sanaa ya Grafiti yavutia wasanii Dar es salaam

Share This:

Kutana na kundi la Watchata kutoka jijini Dar es salaam linalojishughulisha na sanaa ya Grafiti au michoro ya maandishi ukutani. Wanakutembeza katika jiji hilo lenye karibu wakazi milioni sita. Michoro ya grafiti huwavutia sana wanaharakati na wasanii.

Leave a Comment