Share

Sanaa ya sanamu na mapambo kutokana na takataka

Share This:

Unachokiona hakikufai kwake kinamfaa na ni malighafi muhimu katika kazi yake ya sanaa ya kutengeneza sanamu na mapambo tofautitofauti. Jina lake ni Evans Ngure kutoka Nairobi Kenya.

Leave a Comment