Share

Sanjay Dutt aitembelea Tanzania, ahojiwa na AyoTV

Share This:

Mwigizaji hodari wa India Sanjay Dutt alikuja Tanzania kwa mapumziko ya siku 21 ambapo alitembelea mbuga za wanyama ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kuachiwa kutoka gerezani.

Kwenye hii video kuna Exclusive Interview aliyofanya na AyoTV Airport Dar es salaam kabla hajaondoka kurudi India.

Leave a Comment