Share

Saudi Arabia yazidi kuandamwa kutoweka Khashoggi

Share This:

Maseneta nchini Marekani wameiandikia serikali ya Rais Donald Trump kuitaka iishinikize Saudi Arabia kutoa ufafanuzi wa kina juu ya kutoweka kwa mwandishi wa habari mashuhuri, Jamal Khashoggi, akiwa kwenye ubalozi wa Saudia nchini Uturuki.

Leave a Comment