Share

Schulz akubali kuanza mazungumzo ya serikali ya mseto na Merkel

Share This:

Chama cha SPD chakubali kuanza mazungumzo ya kuundwa serikali ya mseto. Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa awateua wakuu wa kijeshi kuwa mawaziri. Wakuu wa EU na Afrika wakubaliana katika mpango wa kuwaondoa wahamiaji waliokwama Libya. Papa Francis aongoza misa ya hadhara Dhaka-Bangladesh kabla ya kukutana na wakimbizi Warohingya

Leave a Comment