Share

Seehofer awasilisha ‘mpango kabambe’ wa wakimbizi

Share This:

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani, Horst Seehofer, amewasilisha leo mpango wake wa uhamiaji, takribani mwezi mmoja baada ya mzozo kati yake na Kansela Angela Merkel kushamiri kutokana na tafauti zao kuelekea sera ya waomba hifadhi. Papo kwa Papo 10.07.2018

Leave a Comment