Share

Sera ya MAGUFULI kutekelezwa kupitia WHATSAPP ‘Tutafungua kiwanda’

Share This:

Wakati wengine wakitumia mitandao ya kijamii vibaya, Motherhood ni kundi la wanawake lililoanzishwa mwaka 2011 likiwa na lengo la wanawake kujitatulia matatizo yao ikiwemo mitaji, ambapo hadi sasa lina jumla ya wanawake Elfu Ishirini, huku likitekeleza sera ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kufungua viwanda.

Leave a Comment