Share

“Serikali imejipambanua kuwa ya wanyonge, bado ajira ni tatizo” –Mbunge Monko

Share This:

Mbunge wa Singida kaskazini Justini Monko ameita Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kujitasmini na kulifanyia kazi suala la kuboresha mazingira ya elimu nchini ambalo amedai limekuwa kikwazo kikubwa licha ya kwamba Serikali imejipambanua kuwa ni ya wanyonge.

Leave a Comment