Share

“Serikali inajiingiza katika mgogoro, ni kukomoana” –Saed Kubenea

Share This:

Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amekubali kukaa mbele ya kamera ya Ayo TV na kutoa maoni yake baada ya Serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuagiza wanamaudhui wote wanatoa habari kwa njia ya mitandao kujisajili. Kubenea pia aliomba mwongozo Bungeni leo June 12, 2018 kutaka Bunge lijadili kuhusu hatma ya muda uliotolewa na mamlaka hiyo kwa matai kwamba ni mchache.

Leave a Comment