Share

Serikali Tanzania yasambaza nishati ya gesi majumbani

Share This:

Nchini Tanzania nishati ya Gesi Asilia huenda ikawa muarubaini wa mabadiliko ya tabia nchi baada ya nchi hio kuanza kuwasambazia wananchi wake nishati ya gesi kama mbadala wa nishati haribifu za mazingira.

Leave a Comment