Share

“Serikali tumewakosea nini? Waziri unameza dhambi” – Julius Laizer

Share This:

Mbunge wa Monduli Julis Laizer alisimama Bungeni Dodoma kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo ameilaumu Serikali kwa kitendo cha kukusanya kodi kwa wafugaji na wavuvi lakini imeshindwa kutenga fungu kwa ajili ya kuwaboreshea mazingira yao ya kazi.

Leave a Comment