Share

“Serikali ya mizuka, tutaangukia pua muda si mrefu” –Pascal Haonga

Share This:

Wabunge wameendelea kuchangia mapendekezo yao katika hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2018/19 iliyowasilishwa bungeni na Waziri wake Dr Charles Tizeba ambapo miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi hiyo ni pamoja na Mbunge wa Mbozi Pascal Haonga aliyeilalamikia Serikali kushindwa kuwasaidia wakulima.

Leave a Comment