Share

Serikali yavipongeza vyombo vya habari katika kuripoti mkutano wa SADC

Share This:

Serikali imevipongeza vyombo vya habari nchini kwa kufanyakazi kubwa ya kizalendo na yenye weledi,ufanisi na hamasa kubwa katika kuripoti mkutano wa 39 wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika-SADC- na kuufanya kuwa na mafanikio makubwa na kufuatiliwa duniani kote.

Leave a Comment