Share

Serikali yawapa siku nne Wanunuzi wa Korosho “la sivyo”

Share This:

Serikali imetoa siku nne kwa wanunuzi wote 35 waliojiandikisha kununua Korosho wawe wamepeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakionesha kiasi cha tani wanazohitaji na lini watazichukua.

Leave a Comment