Share

Serukamba aishauri Serikali

Share This:

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ameitaka Serikali kuangalia upya suala la kuelekeza taasisi zake kupeleka mapato yake yote hazina kwani linachangia kukwama kwa shughuli zinazohitaji fedha.

Posted In:

Leave a Comment