Share

Shaffih Dauda, Said Tuli na Julio baada ya kura zao kutotosha uchaguzi TFF

Share This:

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF Revocatus Kuuli amemtangaza Wallace Karia kuwa Rais mpya wa TFF na amemtangaza Michael Richard Wambura kuwa makamu wa Rais wa TFF.

Leave a Comment