Share

Shambulio Berlin linavyomkatisha tamaa mtanzania anayecheza soka Ujerumani

Share This:

Jana December 19 Ujerumani katika mji wa Berlin imeripotiwa kutokea shambulio lililopelekea mauaji ya watu kadhaa ikiwemo askari 9, taarifa nilizopata ni kuwa dakika 30 kabla ya kutokea kwa tukio hilo mtanzania Emily Mgeta anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Freund Spiel Lauffen inayoshiriki Ligi daraja la tano nchini Ujerumani walipita eneo hilo akiwa na rafiki yake.

Leave a Comment