Share

Shamsa Ford amshauri Diamond kutumia Kondom!

Share This:

Msanii wa filamu Shamsa Ford amedai sio kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake ambao wanatoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni. Mwigizaji huyo amemtaka Diamond kuendelea kutoka na wanawake tofauti tofauti kwa kuwa hawajitambui huku amtahadharisha kutumia kondom ili kuepuka magonjwa na zinaa.

Leave a Comment