Share

Shangwe SUGU alivyochana mbele ya Waziri Mkuu, Wabunge wampa hela, Prof. J adata

Share This:

Kama ulimiss michano ya HIP HOP kutoka kwa staa wa miondoko hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu SUGU, Sasa leo November 7, 2018 SUGU alisimama mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani Dodoma akiwa na kipaza sauti chake na kukumbushia enzi zake.

Leave a Comment