Share

Sheik MKUU DSM ”Tuziheshimu Ndoa, Hawa Viajana wanao Oa kabla ya Ramadhani”

Share This:

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Amezungumza na Waandishi wa Habari Leo na Kusisitiza Kuwa Watu wote wanabidi kuziheshimu Ndoa kwa sababu ni jambo la Baraka, Pia ameendelea kwa akusema Kuwa watu wawaheshimu vijana wanao Oa kabla ya Ramadhani kwasababu wanatafuta Hifadhi.

Leave a Comment