Share

Sheikh Diop; Msomi Mwanasayansi wa Senegal

Share This:

Katika uchambuzi wa historia ya dunia, Cheikh Diop anatajwa kuwa baba wa mtazamo wa Kiafrika. Ndiye aliyeanzisha hoja ya kuwa watawala wa zamani wa Misri, Mafirauni, hawakuwa watu weupe, bali Waafrika weusi.

Leave a Comment