Share

Sheikh Kishk atangaza rasmi kuanza kutumia mitandao ya kijamii

Share This:

Sheikh mkubwa Afrika Mashariki na kati, Nurdeen Kiskh ameamua kuanza kutumia mitandao ya kijamii baada kupokea wito kwa kipindi kirefu kutoka kwa watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimfuatilia kwa karibu.

Leave a Comment