Share

Shindano la kumsaka Mr. Tanzania 2017 kufanyika April 22

Share This:

Mashindano ya kumtafuta Mr. Tanzania yanatarajia kufanyika April 22, 2017 katika Gym ya Bodyline Health & fitness ambapo yatashirikisha washindani wengi kutoka sehemu mbalimbnali nchini.
Mashindano hayo yatafanyika kwa ushirikiano baina ya Bodyline Health & Fitness pamoja na Tanzania Body Building Federation ‘TBBF’.

Leave a Comment