Share

Shughuli za kawaida hazijarejea katika uwanja wa ndege, Hong Kong

Share This:

Waandamanji mjini Hong Kong wamepiga kambi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa eneo hilo na kufunga bandeji kwenye jicho moja kama ishara ya umoja wao na mwenzao anayeripotiwa kupingwa risasi bandia na polisi.

Leave a Comment