Share

Siasa za Kenya zimeathiri biashara na uwekezaji

Share This:

Hali ya kisiasa nchini Kenya ambako kila uchao, joto la kisiasa nchini humo linaongezeka na suala la uchaguzi wa rais likichukua rangi tofauti kila mara, kumeathiri kwa kiasi kikubwa biashara nchini humo. Maisha ya kawaida yamevurugika na wawekezaji wana mashaka.

Leave a Comment