Share

“Sijawahi kulia shida kwa Wema, Lulu kafungwa na Jamhuri” Mama Kanumba

Share This:

Mama Mzazi wa marehemu Steve Kanumba amezungumza baada ya uvumi wa story kusambaa kuwa alikwenda kwa Wema Sepetu na hakufunguliwa mlango kitu kilichopelekea yeye kulalamika.

Sasa Mama Kanumba kasema hajawahi kumuomba Wema msaada wala kwenda kwa WEMA..

Leave a Comment