Share

Sikiliza Baraza la Habari Tanzania lilivyozungumzia kipigo cha mwandishi wa habari nchini Tanzania.

Share This:

Baada ya jeshi la polisi kuonekana kuendelea vitendo vyake vya udhalilishaji dhidi ya waandishi wa habari, Baraza la Habari nchini Tanzania MCT, sasa latoa neno. Limesemaje, msilikilize hapa katibu mtendaji wake Kajubi Mukanjanga. Papo kwa Papo: 10.08.2018.

Leave a Comment