Share

SIKU 7 ZA WEMA SEPETU GEREZANI, AUNT EZEKIEL AIBUKIA MAHAKAMANI

Share This:

Watu mbalimbali wakiwemo wasanii wamejitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa jailli ya kufatilia mwenendo wa kesi ya kuchapisha picha za Ngono inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu ambaye aliamuriwa aende gerezani kwa siku 7.

Leave a Comment