Share

Siku ya kupinga ajira kwa watoto

Share This:

Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga ajira kwa watoto. Shirika la kazi ulimwenguni ILO linakadiria kuwa idadi ya watoto wanaotumikishwa inaongezeka, hadi sasa zaidi ya watoto milioni 100 wameajiriwa duniani.

Leave a Comment