Share

Siku ya Ujuzi wa Vijana Duniani

Share This:

Ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Ujuzi wa Vijana Duniani, na nchini Uganda vijana wakimbizi kutoka mataifa jirani wanaonyesha vipaji vyao wanavyovitumia kujikidhi kimaisha ugenini. #Kurunzi

Leave a Comment