Share

Sikukuu ya 56 ya Uhuru Uganda: Je kuna uhuru?

Share This:

Huku Uganda ikiadhimisha miaka 56 ya uhuru hii leo, wanasiasa wa upinzani wameelezea kuwa uhuru huo hauna maana yoyote kutokana na mazingira ya ukiukwaji wa demokrasia.
Wanasiasa hao wameutaka utawala wa rais Museveni kuiga mfano wa Kenya ambapo uongozi unazingatia umoja wa kitaifa kwenye sherehe kama hizo kwani wanasiasa wa upinzani hawajihisi tena kama maadui wa serikali lakini wadau muhimu katika suala zima la kuleta maendeleo thabiti.
Issac Mumena ametusimulia kutoka Kampala Uganda

Leave a Comment