Share

‘Sikutoroka’ – Dereva wa Lissu aiambia DW

Share This:

Adam Mohamed Bakari, mtu anayefikiriwa kuwa shahidi muhimu kwenye mkasa wa kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania, Tundu Lissu, amekuwa kimya tangu Septemba 2017 hadi alipozungumza na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.

Leave a Comment