Share

Simba SC yapokelewa kwa Mbwembwe Bukoba

Share This:

Timu ya Simba Sports Club leo imewasili Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera ikiwa ni maandalizi ya mechi yao dhidi ya Kagera Sugar hapo kesho katika uwanja wa Kaitaba.

Mashabiki wa Timu huyo kwa upande wa Mkoa wa Kagera wamesimamisha shughuli zao kwa muda na kuipokea Timu hiyo kuanzia Uwanja wa Ndege mpaka Hotelini walipofikia

Leave a Comment