Share

Simulizi ya Tete Kafunja aliyehukumiwa kunyongwa Tanzania

Share This:

Tete Kafunja alihukumiwa kunyongwa nchini Tanzania na akatumikia kifungo kwa miaka 11 kama mahabusu akisubiri hukumu yake. Badaye alikata rufaa, lakini ombi lake ni kuwa hukumu ya kunyongwa iondolewe.

Leave a Comment