Share

Singida United: Feisal amesani miaka 3 / Yanga wametuchanganya!

Share This:

Baada ya mchezaji Feisal Salum kutoka JKU , leo asubuhi kutambulishwa kama ni mchezaji wa Singida na baadaye tena siku hiyo hiyo kuonekana akitambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, Kauli ya msemaji wa Singida United, Clement Sanga amefunguka kulizungumzia sakata hilo huku akionyesha na yeye kushangazwa na tukio hilo la aina yake kutokea kenye medali za soka nchini Tanzania.

Leave a Comment