Share

Sio utani, jamaa kajinyakulia zawadi ya gari mpyaa!

Share This:

Mkazi wa Dodoma Aloyce Mnyamagola ni miongoni mwa Watanzania ambao wameendelea kujishindia zawadi mbalimbali kutoka Vodacom kwa kushiriki kutuma pesa kwa njia ya M PESA ambapo leo July 11, 2018 alitangazwa mshindi wa zawadi ya gari na kukabidhiwa na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge kwa niaba ya kampuni hiyo

Leave a Comment