Share

SIRI YA VIFO WATOTO WACHANGA, SERIKALI YATOA KAULI “TUTATUMIA WHATSAPP”

Share This:

Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Dk.Ahmad Makuwani amesema serikali imefanikiwa katika kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5, lakini haijafanikiwa katika vifo vya watoto Wachanga na waki Mama.

Dk.Makuwani amesema wanaifanyia kazi ambapo kuna dalili za kuboresha huduma ikiwemo kufanya vituo kuwavutia watu na kufanya ukarabati, pia kuongeza bajeti ya afya.

Leave a Comment