Share

“Sisi hatukubali, watendaji wamekurupuka” – Prof Tibaijuka

Share This:

September 11, 2017 katika Kikao cha Tano cha Mkutano wa Nane wa Bunge la 11 Wabunge walikuwa wanachangia mapendekezo yao katika azimio la Bunge kuridhia mkataba (Intergovernmental Agreement-IGA) kati ya Tanzania na Uganda kuhusu mradi wa ujenzi wa bomba la kusafiirisha mafuta ghafi na miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka.

Leave a Comment