Share

‘Sisi Waafrika hatujazoeshwa kuogelea’

Share This:

Licha ya mataifa ya Afrika kuwa na ufuo wa bahari, mito na maziwa, waogeleaji kutoka bara hili mara nyingi hushindwa kufanikiwa katika mashindano ya kimataifa.

Leave a Comment