Share

Sitti Mtemvu awatafutia ajira vijana 200 Saudi Arabi, usahili kesho

Share This:

Kampuni ya Bravo Job Centre Agency Limited ya Malkia wa urembo nchini Tanzania, Sitti Mtemvu imewesha kutafuta nafasi za ajiria 200 kwa Watanzania nchini Saudia Arabia ambapo usahili utafanyika kesho kwaajili ya kupatikana watu hao. Sitti amesema hayo leo Uwanja wa ndege wa JK Nyerere wakati akiwapokea wawakilishi wa Kampuni ya Almarai ambayo itaratibu usahili huo.

Leave a Comment